Wanafunzi wa Hawzah ya Mabanati ya Hazrat Zainab (sa) iliyopo Kigamboni Jijini Dar-es-salaam - Tanzania, pamoja wasimamizi wao, walishiriki katika kuhuisha kisomo cha Dua ya Tawasuli kilichoandaliwa na Hawzah hiyo, ambapo walikumbushwa nafasi ya dua hiyo katika kuimarisha imani, kuongeza matumaini...
