Ujumbe wa masheikh na wanazuoni kutoka Palestina umewasili Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa ajili ya kutoa heshima na kuonesha mshikamano wao kwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Kiongozi Mkuu wa Iran Shahidi Sayyid Ali Khamenei (ra); huku ukisisitiza nafasi ya Kiongozi huyo wa Mapinduzi ya Kiislamu...
