Rais Pezeshkian: Umoja na Mshikamano Ndiyo Rasilimali Kubwa Zaidi ya IranPublished bysw.abna24.comon •1 min readRais wa Iran, Masoud Pezeshkian, amesisitiza kuwa umoja na mshikamano wa kitaifa ndio nguzo muhimu zaidi ya nchi, akibainisha kuwa mshikamano wa wananchi umefutilia mbali mipango ya maadui ya kuleta machafuko nchini humo.AidhaUmojaMshikamanoMuhimuKuboreshaMaishaWananchiRaisMasoudVitaSiku 12Shirika La Habari La AbnaServiceSpecial-IssueLearn moreShareLegalReport