Iran inaanza rasmi kampeni yake ya Kombe la Dunia 2026 kwa mchezo dhidi ya New Zealand katika Kundi G, baada ya kupitia kipindi kigumu kilichogubikwa na sintofahamu kuhusu ushiriki wake kutokana na hali ya usalama nchini.