Barrick Gold Yalipa Faranga za CFA Bilioni 275 kwa Mali Baada ya Mvutano wa Muda Mrefu
Kampuni ya uchimbaji madini ya Barrick Gold imelipa Faranga za CFA bilioni 275 kwa Serikali ya Mali ikiwa ni sehemu ya fedha zilizokuwa zikidaiwa na mamlaka za nchi hiyo, hatua inayotajwa kuwa matokeo