Sheikh Dr.Alhad Mussa Salum: Swaumu ya Ramadhan si adhabu, bali ni Tiba ya Kiroho na Kimwili
Sheikh Dr. Alhad Mussa Salum anafafanua kuwa swaumu ya mwezi mtukufu wa Ramadhan si adhabu, bali ni ibada iliyojaa huruma ya Mwenyezi Mungu. Kufunga kunalenga kutuponya kiroho na kimwili, kuimarisha n